0

Micah ni mwanaume…lakini ana hips
kama au zaidi ya mwanamke! Zile hips
ambazo baadhi ya wadada huzitamani
kiasi cha kuamua kuzitafuta kwa
daktari.
Kijana huyo ambaye ni msanii wa R&B
anayechipukia mwenye miaka 20
kutoka Chicago, Marekani, amechukua
headlines kutokana na umbo lake
kuwashangaza wengi.
Hivi ni vipimo vya mwili wake:
Kifua: 41.5″ Kiuno: 37″ butt/hips: 63″
Hizi ni picha alizoshare kwenye
ukurasa wake wa Instagram: @
regalias_mimi94

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top