WAKATI staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond’, akitafutwa kufanya kolabo na wasanii
mbalimbali, nyota wa muziki huo kutoka Moro
Town, Dayana Nyange, ‘Dayna’ ameibuka na
kusema hana mpango wa kufanya kazi na staa huyo
hata kama anafanya vizuri kimataifa.
Nyota wa muziki huo kutoka Moro Town, Dayana
Nyange, ‘Dayna’.
Akifunguka Dayna alisema kuwa hajaweka wazo la
kumpa kolabo staa huyo kwani hajui kama kuna
kazi ambayo anaweza kufanya vizuri ikiwa pindi
atakapo mshirikisha, ingawa wapo ambao
wanahitaji kufanya naye kazi.
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
“Kwa kweli sijapaga kufanya kazi na msanii huyo na
kwangu sitazami eti anafanya vizuri nje na mimi
nimpe kazi yangu hapana, nataka msanii ambaye
anaweza kusimama kwenye ngoma yangu, bila
hivyo bora nifanye mwenyewe,” alisema Dayna.
Related Posts
MWANAMKE MMOJA AWAUWA WANAE NA KUWAZIKA NDANI
Hii Dunia sijui inaelekea wapi, na sijui mwisho wake ni nini... lakini nahisi nakosea kuilaumu Dunia[...]
Jan 26, 2015MSHINDI WA BIG BROTHER 2014 ANUNUA NYUMBA YAKIFAHALI
Ule usemi kuwa hakuna ‘baba/mama mwenye gari’ mjini bali kuna ‘baba/mama mwenye ny[...]
Jan 23, 2015WHY OBAMA'S INDIA REPUBLIC DAY VISIT IS SIGNIFICANT
The most significant aspect of the US President, Barack Obama's upcoming summit with the Indian Prim[...]
Jan 22, 2015MWANAUME MWENYE HIPS KUBWA KUWAZIDI KIM K,NICK MINAJ NA MASOGANGE
Micah ni mwanaume…lakini ana hips kama au zaidi ya mwanamke! Zile hips ambazo baadhi ya wadada[...]
Jan 20, 2015VANESSA MDEE KUTHIBITISHA KWA PICHA MAUSIANO YAKE NA JUX
Kwa mara kibao Vanessa Mdee na Jux wamekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi licha ya kuonesha dalil[...]
Jan 20, 2015ZALI HAWEZI KUZAA NA DIAMOND MUME AFICHUA SILI NZITO
Oohoo! Wakati staa mkubwa wa muziki wa Afro- Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiche[...]
Jan 19, 2015
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.