MSANII wa filamu Bongo, Tamrina Poshi maarufu
kama Amanda, amechafuka baada ya mtu
anayejitambulisha kwa jina lake, kujinadi kwa
kujitongozesha katika mtandao wa kijamii wa
Facebook.
Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Poshi maarufu
kama 'Amanda'.
Amanda huyo feki amekuwa akijiuza bila aibu katika
mtandao huo kwa kujitongozesha kwa wanaume,
kitu kinachomuumiza muigizaji huyo ambaye pia
anawashangaza wasanii wenzake juu ya tabia hiyo
ya kuchefua.
“Yaani nimekuwa nikiulizwa sana, lakini juzi ndipo
nilishtuliwa na msanii mwenzangu, nikafanya
uchunguzi na kugundua kwamba kuna mtu
ananichafua kupitia mtandao, mashabiki wangu
watambue kuwa mimi sijawahi kujiuza na
ninajiheshimu,” alisema Amanda.
Related Posts
MWANAMKE MMOJA AWAUWA WANAE NA KUWAZIKA NDANI
Hii Dunia sijui inaelekea wapi, na sijui mwisho wake ni nini... lakini nahisi nakosea kuilaumu Dunia[...]
Jan 26, 2015MSHINDI WA BIG BROTHER 2014 ANUNUA NYUMBA YAKIFAHALI
Ule usemi kuwa hakuna ‘baba/mama mwenye gari’ mjini bali kuna ‘baba/mama mwenye ny[...]
Jan 23, 2015WHY OBAMA'S INDIA REPUBLIC DAY VISIT IS SIGNIFICANT
The most significant aspect of the US President, Barack Obama's upcoming summit with the Indian Prim[...]
Jan 22, 2015MWANAUME MWENYE HIPS KUBWA KUWAZIDI KIM K,NICK MINAJ NA MASOGANGE
Micah ni mwanaume…lakini ana hips kama au zaidi ya mwanamke! Zile hips ambazo baadhi ya wadada[...]
Jan 20, 2015VANESSA MDEE KUTHIBITISHA KWA PICHA MAUSIANO YAKE NA JUX
Kwa mara kibao Vanessa Mdee na Jux wamekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi licha ya kuonesha dalil[...]
Jan 20, 2015ZALI HAWEZI KUZAA NA DIAMOND MUME AFICHUA SILI NZITO
Oohoo! Wakati staa mkubwa wa muziki wa Afro- Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiche[...]
Jan 19, 2015
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.