NIPASHE;BAADA YA KUMTUKANA
WAZIRI MKUU,HATIMAYE SUGU
AOMBA MSAMAHA
Image
Mhe Sugu
Image
Waziri Mkuu, Mhe. Pinda
BAADA ya kauli yake iliyoibua mjadala
mkubwa nchini dhidi ya Waziri Mkuu, Mhe.
Mizengo Pinda kufuatia majibu yake
aliyoyatoa wiki iliyopita Bungeni kwa kutaka
Polisi kuendelea kuwapiga raia, Mbunge wa
Mbeya Mjini, Mhe Joseph Mbilinyi 'Sugu',
aomba radhi.
Sugu amemuomba radhi mhe Pinda na
watanzania kwa ujumla kwa lugha
aliyotumia katika kuonyesha hisia zake juu
ya kauli aliyoitoa mhe Pinda bungeni.
Kupitia akaunti yake ya Facebook, Mbunge
huyo machachari amenukuliwa akiwaomba
radhi Watanzania waliokerwa na kauli yake
iliyodai kwamba Tanzania haijawahi
kuwapata Waziri Mkuu kama Mhe. Pinda
kwa kusema;
"Ndugu watanzania, naombeni radhi kwa
tusi nililolitoa kwa mhe Pinda, kwani
nilikua nimeghafirika, halikuwa kusudio
langu kumtukana mmoja wa viongozi wa
nchi."
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni