0

Mapokezi Ya Diamond Platnumz
Yalivokuwa Jijini Dar es salaam Leo.
Diamond Platnumz ameingia Dar es salaam
Tanzania leo Dec 02 akiwa na tuzo zake 3
alizozipata kutoka Channel O ambapo Watanzania
wamejikusanya barabarani kutoka Airpot mpaka
mitaa aliyokuwa amepita.
Msafara ulipotoka Airpot umepitia Buguruni mpaka
Kariakoo ambapo ulipofika Kariakoo ilibidi Jeshi la
Polisi liingilie kati ili kupunguza foleni ya watu
waliokuwa wakitaka kumshika mkono Diamond.
Diamond alipofika Buguruni aliamua kushuka
kwenye gari ya wazi aliyokuwa amepanda na
kutembea kwa miguu na mashabiki wake mpaka
Kariakoo,hizi ni baadhi ya picha za mapokezi yake
hayo.
UMEICHEKI HII ? Mapokezi Ya Diamond Platnumz
Yalivokuwa Jijini Dar es salaam Leo.

Chapisha Maoni

 
Top