Ukiona manyoa?!!! Hatimaye zile tetesi na hisia
za kwamba mwaigizaji Wema Sepetu na msanii
wa muziki Ommy Dimpoz kuwa kwenye
mahusiano ya kimapenzi zime kuwa kweli kwa
zaidi ya asilimia 99, hii kutona na picha
waliopiga jana usiku wakiwa bafuni huku wema
akiwa amevalia taulo “flan amazing” huku
kijana Ommy akionekana kwa mbaliii kama
ananawa mikono.
Picha hii iliamsha watu kibao usiku wa jana
hasa wale Team Wema kindakindaki..kwani
comments na likes zilivyo tiririka utazana picha
imewekwa saa sita mchana, kumbe ni usiku
wamamane.
Haya jamani sisi tunawatakia kila la kheri,
kwani wengi wamesema hii ni couple flan
amazing....
Nyumbani
»
Kamandotzblogspot.com
» PENZI LA WEMA NA OMMY DIMPOZ LIPO WAZI, WAPIGA PICHA USIKU WAKIWA BAFUNI
Next
This is the most recent post.
Previous
Taarifa za zamani
Related Posts
WAHITIMU 16,600 JKT WAAJIRIWA NA VYOMBO VYA ULINZI
VIJANA 16,594 waliohudhuria mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wameajiriwa na vyombo vya Ulinzi[...]
Feb 04, 2015YANGA YAKWEA KILELENI
TIMU ya soka ya Yanga jana ilipaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu baada ya kuifunga Coastal Union b[...]
Feb 04, 2015MTUMISHI WA MUNGU AKUTWA NA MKE WAMTU ALIPOBAMBWA ATAKA KUTOA RUSHWA
Ohoo, ama kweli dunia imekwisha! Mtumishi wa Mungu (Muinjilisti) ambaye kipindi chake cha dini kinar[...]
Jan 13, 2015YANGA YAWAFUNGULIA MASHTAKA JAJA, OKWI NA KASEJA
KLABU ya Yanga imewafungulia mashtaka waliokuwa wachezaji wake watatu, Emmanuel Okwi, Juma Kaseja na[...]
Jan 12, 2015SIMBA, MTIBWA FAINALI YA KISASI
SIMBA na Mtibwa Sugar leo zitacheza mechi ya fainali ya kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanziba[...]
Jan 12, 2015
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.