Taarifa zilizotufikia hivi punde zimedai kuwa
rapper Geez Mabovu amefariki dunia leo mjini
Iringa.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez
amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na
nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo.
Taarifa zaidi zinakuja.
December 27 mwaka jana, hitmaker huyo wa
Mtoto wa Kiume alizidiwa ghafla kabla ya show
iliyokuwa ifanyike mjini Iringa kwenye ukumbi
wa Twista Night Club alikokuwa atumbuiza na
rappers wengine wakiwemo Wakazi, Songa,
Jan B na Chidi Benz.

Chapisha Maoni