
Ukiona manyoa?!!! Hatimaye zile tetesi na hisia za kwamba mwaigizaji Wema Sepetu na msanii wa muziki Ommy Dimpoz kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi zime kuwa kweli kwa zaidi ya asilimia 99, hii kutona na picha waliopiga jana usiku wakiwa bafuni huku …