Bongo Movies Super Star mwenye mvuto wa kipekee, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kamwe hapendi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na masharobaro akidai kuwa siku zote ni pasua kichwa ila anazimikia watu wazima waliomzidi sana umri. Akizungumza na mwandishi , Lulu alisema akiwa na mwanaume anapenda ampite angalau miaka kumi na kuendelea kwa kuwa anakuwa ni mtu mzima na muelewa siyo masharobaro kila wakati wanafikiria jinsi gani wataonekana smati na si kufikiria maisha. “Masharobaro hawana nafasi kwangu, kwa sababu hawafikirii maisha kabisa, hata mwanaume atakayenioa nafikiri atanipita zaidi ya miaka kumi, hapo ndiyo itakuwa sawa tofauti na hivyo sitaki masharobaro,” alisema Lulu. SOMA HII PIA >>
Edward M (Ted) Schaeffer, MD, PhD, Associate Professor of Urology, Oncology and Pathology, was born in Palo Alto California and graduated from University of Chicago with undergraduate, graduate and medical degrees. He joined the faculty after completing his general surgery and urology training at Johns Hopkins.
Dr. Schaeffer has an active clinical practice in Urologic Oncology specializing in Prostate, Bladder and Kidney cancer. He has expertise in open, laparoscopic and robot treatment of these malignancies. As an active member of the Sidney Kimmel Comprehensive Cancer Center at Johns Hopkins, Dr Schaeffer participates in multidisciplinary approaches to the treatment of genitourinary cancers.
Dr Schaeffer is also a fully trained scientist and an expert in prostate development and prostate carcinogenesis. His laboratory currently investigates novel pathways of prostate and bladder carcinogenesis through utilization of experimental embryology and systems of epithelial injury repair.
Dr Schaeffer's accomplishments in both medicine and science have recently been acknowledged with several awards including the AUA/Astellas "Rising Star" award and a Howard Hughes Clinician-Scientist Early Careers Award.
Chapisha Maoni